"Rais Razak Wakil wa nchi ya Sirini anapata misukosuko ya kiusalama toka kwa genge lisilojulikana. Kwa kushirikiana na msaidizi wake, Koreshi Masufi, wanaamua kumtuma mjumbe wa siri kutafuta chanzo cha tatizo. Kabla ya kupata ufumbuzi, na katika hali ya kushangaza, Rais Wakil anapata taarifa za uwepo wa kifurushi kwenye bustani ya Ikulu. Ujio wa kifurushi unazua kizaazaa kwa kuanika usaliti, chuki, fitna, hadaa, visasi n.k." -- back cover
This resource is supported by the Institute of Museum and Library Services under the provisions of the Library Services and Technology Act as administered by State Library of Iowa.