The Locator -- [(subject = "Tanzania")]

2637 records matched your query       


Record 25 | Previous Record | MARC Display | Next Record | Search Results
Author:
Kido, Hafidh Athumani, 1982- author.
Title:
Hawara / Hafidh A. Kido.
Edition:
Chapa y Kwanza.
Publisher:
Dhahabu Publishers,
Copyright Date:
2022
Description:
v, 120 pages : portrait ; 20 cm
Subject:
Swahili fiction--Tanzania--21st century.
Swahili literature--Tanzania--21st century.
Sex role--Tanzania--Fiction.
Swahili fiction
Fiction.
Novels
Romans.
Notes:
A novel.
Summary:
"Katika maisha tunayoishi, kumekuwa na swali ambalo jibu lake si jepesi kupatikana au halipatikani kabisa. Kwamba, Hivi mwanamke ni nani hasa?! Je, ni mtoto, ni dada, ni shangazi ni Mama au ni Bibi? Wakati ukitafuta jibu la swali hili, huenda unaweza kuchanganyikiwa pale utakapotafakari kwa kina na kujiuliza tena, Je, nini wajibu na nafasi ya mwanamke katika jamii?! Ni uzazi? Ulezi wa familia, au kiburudisho kwa wanaume walafi wasio na staha?! Kupitia riwaya hii ya Hawara, Hafidh Kido kwa mara nyingine tena anaitumia kalamu yake vyema kutafuta majibu ya maswali hayo, akiangalia mila, desturi na taratibu za maisha katika jamii za watanzania. Jamii zinazomtazama mwanamke kama aina fulani ya kitu badala ya mtu. Kido anaichambua si tu nafasi ya na wajibu wa mwanamke katika jamii, bali pia anaitazama kwa kina nafasi na wajibu wa jamii kwa mwanamke. Hiki ni kitabu ambacho kitakufunulia mengi na vingi kuhusu mwanamke na jamii inayomzunguka." -- Back cover
ISBN:
9987934552
9789987934553
OCLC:
(OCoLC)1371410308
LCCN:
2023322128
Locations:
OVUX522 -- University of Iowa Libraries (Iowa City)

Initiate Another SILO Locator Search

This resource is supported by the Institute of Museum and Library Services under the provisions of the Library Services and Technology Act as administered by State Library of Iowa.