The Locator -- [(subject = "Swahili")]

1107 records matched your query       


Record 6 | Previous Record | MARC Display | Next Record | Search Results
Author:
Gurnah, Abdulrazak/ Hadjivayanis, Ida.
Title:
Peponi
Publisher:
African Books Collective
Copyright Date:
2023
Description:
260 pages ; 20 cm.
Subject:
Swahili fiction.
Swahili language--Texts.
Summary:
Mzaliwa wa Afrika ya Mashariki, Yusuf anaondoka kwao kwa ghafla akiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Haimjii hata kwa sekunde moja, kwamba atakuwa mbali na wazazi wake kwa muda mrefu, na wala hafikirii kuuliza atarudi lini au kwa nini safari iliandaliwa kwa ghafla kiasi kile. Yusuf anaamini kuwa anamsindikiza Ami Aziz lakini ukweli ni kwamba 'ami' yake ni Mfanyabiashara, tena tajiri mkubwa, na Yusuf amewekwa rehani ili kulipia madeni ya baba yake. Yusuf anajikuta anasafiri katika miji na vitongoji vingi vingine ambako anakutana na watu wa kila namna. Anabalehe na kukua kwenye dunia inayobadilika kwa kasi kutokana na kuingia kwa ukoloni na udhalimu wake na jamii kuharibika kwa kuvurugwa kwa utamaduni wake. Hii ni tafsiri ya kwanza kwa riwaya za Abdulrazak Gurnah katika lugha ya Kiafrika.
ISBN:
9987449867 : PAP
9789987449866 : PAP
LCCN:
bc2048092357
Locations:
TYPH572 -- Cedar Rapids Public Library (Cedar Rapids)

Initiate Another SILO Locator Search

This resource is supported by the Institute of Museum and Library Services under the provisions of the Library Services and Technology Act as administered by State Library of Iowa.