The Locator -- [(subject = "Swahili")]

1107 records matched your query       


Record 7 | Previous Record | Long Display | Next Record
01652aam a22002175a 4500
001 919DB764BB4F11EE9799A7D243ECA4DB
003 SILO
005 20240125010040
008 231023s2023    tz     e      000 1 swa d
020    $a 9987084974
020    $a 9789987084975
040    $d SILO
100 1  $a Abdalla, Idrissa Haji $e author.
245 10 $a Kilio cha Mwanamke / $c Idrissa Haji Abdalla.
264  1 $a Dar Es Salaam, Tanzania : $b Mkuki na Nyota Publishers, $c 2023.
300    $a 178 pages ; $c 20 cm.
520    $a Sauti dhaifu ya kilio cha mwanamke ilinifikia pale nilipokuwa nimesimama karibu na vichaka vikubwa vilivyoshonana mbele yangu. "Hivi ni sauti ya binadamu kweli au ni mlio wa mnyama fulani?" Nilijiuliza swali hilo ingawa sauti ile niliyoisikia ilifanana sana na kilio cha mwanamke ambaye yuko katika maumivu makali. Hali fulani ya woga ilianza kuniingia polepole. Baada ya kuanza kupatwa na woga niliamua kumfuata bibi yangu ambaye nilimwacha akiendelea kukata kuni nyuma ya vichaka vingine vilivyokuwa kushoto kwangu. Baada ya kutembea kwa hatua zisizozidi kumi nilimwona bibi akinifuata. Hapo niliamua kusimamana kumsubiri ili nim-wulize juu ya ile sauti niliyoisikia. "Nimesikia sauti kama ya mtu ambaye alilia kwa muda mrefu na mwisho akapoteza nguvu". Bibi yangu alieleza hivyo kabla ya mimi kumweleza. "Hata mimi nilisikia ile sauti, tena inaelekea ni sauti ya mwanamke. Hivi unavyoniona ndio nimeamua kutofuata tena hizo kuni, maana nimeanza kuogopa."
650  0 $a Swahili language materials.
941    $a 1
952    $l TYPH572 $d 20240125012541.0
956    $a http://locator.silo.lib.ia.us/search.cgi?index_0=id&term_0=919DB764BB4F11EE9799A7D243ECA4DB

Initiate Another SILO Locator Search

This resource is supported by the Institute of Museum and Library Services under the provisions of the Library Services and Technology Act as administered by State Library of Iowa.