The Locator -- [(subject = "Swahili")]

1107 records matched your query       


Record 6 | Previous Record | Long Display | Next Record
01669aam a22002895i 4500
001 89823212BB4F11EE9799A7D243ECA4DB
003 SILO
005 20240125010040
008 230407 2023    xxx               1 eng  
010    $a bc2048092357
020    $a 9987449867 : PAP
020    $a 9789987449866 : PAP
040    $a BTCAT $b eng $e rda $c BTCAT $d SILO
050    $a PS
082    $a 813
084    $a FIC000000 $2 bisacsh
100 1  $a Gurnah, Abdulrazak/ Hadjivayanis, Ida.
245 10 $a Peponi
264  1 $a [Place of publication not identified] $b African Books Collective $c 2023
300    $a 260 pages ; $c 20 cm.
520    $a Mzaliwa wa Afrika ya Mashariki, Yusuf anaondoka kwao kwa ghafla akiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Haimjii hata kwa sekunde moja, kwamba atakuwa mbali na wazazi wake kwa muda mrefu, na wala hafikirii kuuliza atarudi lini au kwa nini safari iliandaliwa kwa ghafla kiasi kile. Yusuf anaamini kuwa anamsindikiza Ami Aziz lakini ukweli ni kwamba 'ami' yake ni Mfanyabiashara, tena tajiri mkubwa, na Yusuf amewekwa rehani ili kulipia madeni ya baba yake. Yusuf anajikuta anasafiri katika miji na vitongoji vingi vingine ambako anakutana na watu wa kila namna. Anabalehe na kukua kwenye dunia inayobadilika kwa kasi kutokana na kuingia kwa ukoloni na udhalimu wake na jamii kuharibika kwa kuvurugwa kwa utamaduni wake. Hii ni tafsiri ya kwanza kwa riwaya za Abdulrazak Gurnah katika lugha ya Kiafrika.
546    $a In Swahili
650  0 $a Swahili fiction.
650  0 $a Swahili language $v Texts.
941    $a 1
952    $l TYPH572 $d 20240125011957.0
956    $a http://locator.silo.lib.ia.us/search.cgi?index_0=id&term_0=89823212BB4F11EE9799A7D243ECA4DB

Initiate Another SILO Locator Search

This resource is supported by the Institute of Museum and Library Services under the provisions of the Library Services and Technology Act as administered by State Library of Iowa.