The Locator -- [(subject = "Swahili")]

1107 records matched your query       


Record 3 | Previous Record | Long Display | Next Record
01451aam a22002175a 4500
001 83A3B3A2BB4F11EE9799A7D243ECA4DB
003 SILO
005 20240125010040
008 231023s2023    tz     e      000 1 swa d
020    $a 9987753841
020    $a 9789987753840
040    $d SILO
100 1  $a Lubango, Lucas, $e author.
245 10 $a Bweni la Wasichana / $c Lucas Lubango.
264  1 $a Dar Es Salaam, Tanzania : $b Mkuki na Nyota Publishers, $c 2023.
300    $a 190 pages ; $c 20 cm.
520    $a Usiku huo nilikuwa nasimamia maandalizi ya masomo ya usiku. Nikapigiwa simu na Rose, nikaipokea. Wakati naongea naye, nikawa natembea taratibu kama naelekea kwenye mabweni. Ghafla, nikaona taa za bweni wanalolala "Buibui" zinawaka na kuzima, nikajua ni hitilafu katika mfumo wa umeme. Nikataka kusogea ili nithibitishe kisha nitoe taarifa mapema kwa uongozi na matengenezo yafanyike. Nilisogea mpaka mlangoni, taa zikawaka moja kwa moja, na kwa kuwa kulikuwa na dalili za kuwemo mwanafunzi, nilitaka kujua kwanini hayupo darasani wakati wenzake wote walikuwa wana-jisomea. Nilingia nikakuta hali ya ukimya sana, nikatembea mpaka karibu na mwisho wa bweni, nilichokiona ni aibu kubwa! Huwezi amini, "Buibui" waliponiona wakadondosha khanga! Wakabaki kama walivyozaliwa..
650  0 $a Swahili language materials.
941    $a 1
952    $l TYPH572 $d 20240125011549.0
956    $a http://locator.silo.lib.ia.us/search.cgi?index_0=id&term_0=83A3B3A2BB4F11EE9799A7D243ECA4DB

Initiate Another SILO Locator Search

This resource is supported by the Institute of Museum and Library Services under the provisions of the Library Services and Technology Act as administered by State Library of Iowa.