The Locator -- [(subject = "Swahili")]

1107 records matched your query       


Record 11 | Previous Record | Long Display | Next Record
01908aam a22002295a 4500
001 FE78A38E199211EFAA2C9EE853ECA4DB
003 SILO
005 20240524010037
008 240125s2023    tz     e      000 1 swa d
020    $a 9987753698
020    $a 9789987753697
040    $d SILO
100 1  $a Maregesi, Enock, $e author.
245 10 $a Kolonia santita : $b Laana ya panthera tigrisi / $c Enock Maregesi.
264  1 $a Dar Es Salaam, Tanzania : $b Mkuki na Nyota Publishers, $c 2022.
300    $a xi, 344 pages ; $c 20 cm.
520    $a 'Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi' ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya - na kung'oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi - na duniani kwa jumla. Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda - na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili - na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani.
650  0 $a Swahili fiction.
650  0 $a Swahili language $v Texts.
941    $a 1
952    $l TYPH572 $d 20240524011057.0
956    $a http://locator.silo.lib.ia.us/search.cgi?index_0=id&term_0=FE78A38E199211EFAA2C9EE853ECA4DB

Initiate Another SILO Locator Search

This resource is supported by the Institute of Museum and Library Services under the provisions of the Library Services and Technology Act as administered by State Library of Iowa.