The Locator -- [(subject = "Rwanda--Fiction")]

40 records matched your query       


Record 4 | Previous Record | MARC Display | Next Record | Search Results
Author:
Umwagarwa, A. Happy, author
Title:
Mioyo miongoni mwetu / A. Happy Umwagarwa
Edition:
Swahili edition.
Publisher:
Rainbow Pigeons Press,
Copyright Date:
2021
Description:
vi, 370 pages ; 22 cm.
Subject:
Swahili language materials.
Genocide--Fiction.
Rwanda--Fiction.
Man-woman relationships--Fiction.
Summary:
Karabo amepona mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi mwaka 1994 ambayo yaliyatwaa maisha ya baba yake na wadogo zake. Sasa ameachwa peke yake miongoni mwa mioyo iliyojeruhiwa nchini Rwanda, na hafahamu mahali alipo mama yake. Karabo alipokwenda kuishi na baba yake mkubwa, ambaye ni kanali kwenye jeshi jipya, anakutana na Shema, mhanga mwingine wa mauaji ya kimbari akiwa miongoni mwa walinzi vijana wa baba yake mkubwa. Tabasamu la Shema linamtetemesha, na Karabo anataka kuusalimisha moyo wake kwake, lakini mambo yanakuwa magumu -- Shema anafahamu sehemu tu ya hadithi yake.
Karabo has survived the 1994 genocide against Tutsis that claimed the lives of his father and younger siblings. He is now left alone among the wounded hearts in Rwanda, and does not know the whereabouts of his mother. When Karabo went to live with his grandfather, who is a colonel in the new army, he meets Shema, another genocide victim among his grandfather's young bodyguards. Shema's smile shakes him, and Karabo wants to surrender his heart to her, but things get complicated -- Shema only knows part of his story.
ISBN:
1838206302
9781838206307
OCLC:
(OCoLC)1264098649
Locations:
BAPH771 -- Des Moines Public Library (Des Moines)

Initiate Another SILO Locator Search

This resource is supported by the Institute of Museum and Library Services under the provisions of the Library Services and Technology Act as administered by State Library of Iowa.