The Locator -- [(subject = "Swahili language--Texts")]

140 records matched your query       


Record 18 | Previous Record | MARC Display | Next Record | Search Results
Author:
Masereka, George Black, author.
Title:
Uhasama kilimani / Masereka George Black.
Edition:
Toleo la kwanza.
Publisher:
Fountain Publishers,
Copyright Date:
2017
Description:
iii, 156 pages ; 20 cm
Subject:
Africa--Fiction.
Swahili language--Texts.
Swahili language.
Africa.
Fiction.
Texts.
Notes:
A novel.
Summary:
"Wenyeji wa Bwera walikuwa wametaabika kitambo. Walikuwa wamechoshwa kwa maisha yaliyokuwa kila kukicha yakibadilika kama hali ya hewa katika majira ya masika. Wengi wao wakaishi tu kwa kujutia kwa nini walizaliwa. Kuishi kwa masharti na kwa usimamizi kulikuwa hakuchi kuwakera na kuwakereketa. Kulikuwa na utifu mwingi, utifu uliowafanya wote waathirike kwa zahama zilizotokea. ... Sambara Kibelu, wakala na liwali mkuu wa mfalme aliwaongoza kwelikweli. Akawawekea masharti ya amri kuhusu maisha katika jamii yao kwa ujumla. Haiaminiki bali ni kweli kuwa nyakati hizo hata mkembe kulialia ovyo usiku, ilimsababishia mama yake kuchota adhabu ambayo angeishi kuikumbuka. Matembezi yoyote ya usiku yakaharimishwa. Ikawabidi wenyeji kuishi wakiwa chonjo kila kukicha kwa jitihada za kutovunja hata chembe moja ya masharti yaliyokuwa yamewajia kama upara."--Page 4 of cover
ISBN:
9970259571
9789970259571
OCLC:
(OCoLC)1128891600
LCCN:
2022324351
Locations:
OVUX522 -- University of Iowa Libraries (Iowa City)

Initiate Another SILO Locator Search

This resource is supported by the Institute of Museum and Library Services under the provisions of the Library Services and Technology Act as administered by State Library of Iowa.